Iliyochapishwa Dakika 17 zilizopita Muda wa kusoma: Dakika 7 Maandalizi ya mkutano wa kwanza kabisa wa viongozi wa China, Urusi na Marekani yameibua wasiwasi barani Ulaya, huku baadhi ya watu wakitazama mkutano huo kama ukumbusho wa mgawanyiko wa dunia katika maeneo ya ushawishi uliotokea baada ya Vita kuu vya pili vya dunia. Rais wa Urusi Vladimir Putin, akiwa ameandamana na
Maelezo kuhusu taarifaAuthor, رضا ثابتیNafasi, روزنامهنگارIliyochapishwa Dakika 31 zilizopita Muda wa kusoma: Dakika 12 Miezi minane baada ya kuanza kwa vita vya siku 40 kati ya Marekani, Israel na Iran, picha za satelaiti zinaonyesha kuwa Iran imeanza kujenga upya baadhi ya vituo vyake vya kijeshi. Tathmini za kijasusi pia zinaashiria kuwa sehemu kubwa ya uwezo wake wa
Serikali zaahidi kupunguza
Kuanzia kubaini viumbe wa baharini kwa kutumia
Maelezo kuhusu taarifaAuthor, Asha JumaNafasi, NairobiIliyochapishwa Saa 2 zilizopita Muda wa kusoma: Dakika 5 Wakati mwingine maisha hubadilika ndani ya sekunde chache. Siku ambayo inaanza kama nyingine yoyote inaweza kugeuka kuwa mwanzo wa maumivu, hofu na mapambano ya kuokoa maisha. Kwa Alice Chesoli, siku hiyo ilifika mwaka 2017. Alikuwa amerejea nyumbani kutoka kazini
Iliyochapishwa Dakika 3 zilizopita Muda wa kusoma: Dakika 7 Iwapo maisha yapo mahali pengine katika ulimwengu, huenda yasiwe kwenye sayari zinazofanana na Dunia. Hizi ni baadhi ya sehemu za ajabu zaidi ambazo wanasayansi wanaamini zinaweza kuficha dalili za viumbe wa nje ya Dunia. Kwa muda mrefu, juhudi za kutafuta uwepo wa viumbe vingine nje ya dunia zimejikita katika dunia
Maelezo kuhusu taarifaAuthor, Sajal Das RoleAkiripoti kutoka, BBC BanglaIliyochapishwa Dakika 2 zilizopita Muda wa kusoma: Dakika 6 Je, kuvaa kofia ya kujikinga kwa muda mrefu kunaweza kusababisha nywele kupukutika? Vipi kuhusu hijabu? Je, kufunika kichwa kwa muda mrefu kunazuia hewa kufika kwenye ngozi ya kichwa na hivyo kudhoofisha mizizi ya nywele? Na je, kubadilisha shampoo
Mashirika ya Umoja wa Mataifa lile la Afya
Kutoka kwenye mashamba ya mpunga, mahindi na mboga hadi katika shughuli za uvuvi,
Iliyochapishwa 8 Novemba 2019Imeboreshwa 21 Januari 2022 kuna imani potofu kwenye mitandao ya kijamii kuhusu sehemu za siri za wanawake, mwanamke mmoja ameamua kujitoa kuelezea masuala hayo. Dr Jen Gunter amekua daktari wa kina mama huko Marekani na Canada kwa miaka 25. Ametoa kitabu hivi karibu kinachoitwa biblia ya sehemu za siri za wanawake. Kutokana na mijadala mbalimbali
Ujerumani imefuzu kuingia robo fainali za michuano ya UEFA Nations League baada ya kuichapa Uholanzi mabao 5 kwa bila katika mchezo uliochezwa jana mjini Berlin. https://p.dw.com/p/5PWSy Ichaguwe DW kwenye Google Florian Wirtz na wenzake waliifunga Uholanzi 5-0 kwenye Uwanja wa Olimpiki mjini Berlin, Jumatatu, na kumaliza kileleni mwa kundi lao katika Ligi ya Mataifa ya
Marais Trump, Xi na Putin watafanya mazungumzo yao ya kwanza ya pande tatu pembezoni mwa mkutano wa APEC. Wana vipaumbele tofauti kuhusu biashara, Ukraine, Iran na udhibiti wa silaha. Kila mmoja anatarajia kupata nini? https://p.dw.com/p/5PZzA Ichaguwe DW kwenye Google Ukraine imesema ni muhimu kutomruhusu Putin kudhani kwamba mkutano huo wa pande tatu unaashiria kurejea kwa
Tanzania na Uganda zinataka kupunguza gharama za uchukuzi na kuondoa vikwazo vya biashara. Ziara ya Rais Samia mjini Entebbe imeweka utekelezaji wa miradi ya pamoja mbele ya ajenda. https://p.dw.com/p/5PbRO Ichaguwe DW kwenye Google Rais Samia Suluhu Hassan na mwenyeji wake Yoweri Museveni wamejadili kuimarisha biashara na uchukuzi kati ya Tanzania na Uganda.Picha: Presidential
Macho yanaelekezwa mjini Shenzhen ambako Rais wa Marekani Donald Trump, Rais wa China Xi Jinping na Rais wa Urusi Vladimir Putin wanakutana kandoni mwa mkutano wa Ushirikiano wa Kiuchumi wa Asia na Pasifiki (APEC). https://p.dw.com/p/5PZQz Ichaguwe DW kwenye Google Mkutano wa kilele wa mataifa ya Mashariki na Kusini mwa Asia (ASEAN) uliofanyika mjini Manila, Ufilipino.Picha:
Rais wa Marekani Donald Trump amekutana na viongozi wa Japan, India na Australia mjini Manila, huku maelfu ya waandamanaji wakipinga ziara yake. Kutoka Ufilipino, ataelekea China kwa mazungumzo na Xi Jinping na Vladimir https://p.dw.com/p/5PYwH Ichaguwe DW kwenye Google Donald Trump alitunukiwa hadhi ya mgeni wa heshima katika dhifa ya jioni ya mkutano wa kilele wa ASEAN.Picha:
Mipango mipya ya kimataifa
Iliyochapishwa Dakika 14 zilizopita Muda wa kusoma: Dakika 6 Serikali ya Pakistan imetangaza mpango wa kuifanya Islamabad kuwa "mji mkuu wa kwanza duniani usiotumia fedha taslimu" na pia "mji wa kwanza nchini humo unaotumia mfumo wa malipo ya kidijitali." Katika taarifa iliyotolewa na Wizara ya mambo ya ndani Ijumaa (Novemba 13), serikali imeweka tarehe 31
Iliyochapishwa Dakika 56 zilizopita Muda wa kusoma: Dakika 7 Siku ya Jumanne, jeshi la Iran, Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu wa Iran (IRGC) walitoa picha za kile walichokiita "mji mpya wa makombora", kituo kikubwa cha chini ya ardhi kinachotumiwa kuhifadhi makombora na mifumo ya kuyarusha. Picha hizo zinamuonyesha Mkuu wa Majeshi ya Iran, Ali Abdollahi, pamoja na
Maelezo kuhusu taarifaAuthor, Olivia Ireland na Author, Bethany BellAkiripoti kutoka, ViennaIliyochapishwa Saa 1 iliyopita Muda wa kusoma: Dakika 5 Nchi tano wanachama wa Umoja wa Ulaya zinapanga kuanzisha kituo cha kuwahamishia wahamiaji nchini Rwanda kuanzia mwaka 2027. Hatua hiyo ni sehemu ya juhudi za mataifa hayo kudhibiti uhamiaji na kuongeza idadi ya wahamiaji
Maelezo kuhusu taarifaAuthor, Ahmen Khawaja and Asad Ali ChaudhryNafasi, BBC World ServiceIliyochapishwa 11 Mei 2023 Imran Khan ni nani? Yeye ni nyota wa zamani wa kimataifa wa kriketi aliyegeuka kuwa mwanasiasa ambaye aliiongoza Pakistan kupata ushindi katika Kombe la Dunia la 1992. Mzaliwa huyo wa Lahore baadaye alistaafu kucheza kriketi na akaendelea kuchangisha mamilioni ya