Rais William Ruto amesema sera za serikali yake zimeimarisha uchumi na kupanua huduma za afya. Lakini wakosoaji wanasema mafanikio anayoyataja hayajaondoa shinikizo la gharama ya maisha. https://p.dw.com/p/5PbS5 Ichaguwe DW kwenye Google Rais William Ruto akilihutubia Bunge kuhusu hali ya taifa.Picha: Michael Kwena/DWMatangazo Rais wa Kenya William Ruto ametumia hotuba yake ya
Shirika la Kimataifa la Nishati IEA limetahadharisha kwamba mzozo katika Mashariki ya Kati umesababisha kitisho kikubwa zaidi kwa usalama wa nishati kuwahi kushuhudiwa katika historia. https://p.dw.com/p/5Pdla Ichaguwe DW kwenye Google Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Kimataifa la Nishati IEA, Fatih Birol, amesema mgogoro katika mlango bahari wa Hormuz umesababisha tishio
Viongozi hao watatu wamejadili uvamizi wa Urusi nchini Ukraine na udhibiti wa silaha za nyuklia. Baada ya mazungumzo, Rais Trump ameripotiwa kuelekea uwanja wa ndege. https://p.dw.com/p/5Pdek Ichaguwe DW kwenye Google Putin, Xi na Trump wamekutana kwa mazungumzo ya pamoja yaliyosubiriwa kwa hamu kubwa.Picha: Mark Schiefelbein/AP Photo/dpa/picture allianceMatangazo Rais wa
Makadirio ya Pew Research Center yanaonyesha kuwa kufikia 2035 kutakuwa na Waislamu bilioni 2.57 na Wakristo bilioni 2.52. Watafiti wanahusisha mabadiliko hayo hasa na tofauti za viwango vya uzazi. https://p.dw.com/p/5Pd28 Ichaguwe DW kwenye Google Utafiti mpya unaonyesha kuwa idadi ya Waislamu na Wakristo inaongezeka, lakini Waislamu wanaongezeka kwa kasi zaidi.Picha: Ismael
Iliyochapishwa Saa 3 zilizopita Muda wa kusoma: Dakika 5 Unapoingia kwenye mitandao ya kijamii na kujiunga na mjadala kuhusu serikali za Afrika Mashariki huenda ukakutana na akaunti nyingi zinazotetea msimamo mmoja, kutumia ujumbe unaofanana au kushambulia wanaokosoa mamlaka. Baadhi ya akaunti hizo zinaweza kuonekana kuwa za watu wa kawaida. Zina majina, picha na hata historia
Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani (WHO) limeonya kuwa juhudi za kudhibiti mlipuko wa ugonjwa wa Ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) bado zinakabiliwa na changamoto kubwa, licha ya mafanikio yaliyopatikana katika baadhi ya maeneo yaliyoathirika. Akizungumza na waandishi wa habari mjini Geneva Uswisi Jumanne, Mkurugenzi Mkuu wa WHO, Dkt. Tedros Adhanom
Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika, limewakutanisha huko Zanzibar, Tanzania, wataalamu wa afya na masuala ya fedha kutoka Afrika na washirika wa kimataifa, ili wajadili namna ya kuimarisha ufuatiliaji wa matumizi ya fedha katika huduma za afya ya uzazi na haki za kijinsia. Tweet URL Taarifa ya WHO Kanda ya Afrika iliyotolewa leo huko Unguja, Zanziba inasema mkutano
Wataalamu huru wa Umoja wa Mataifa wamevitaka vyombo vya habari, majukwaa ya kidijitali na wadau wengine kuhakikisha kuwa taarifa kuhusu ukatili wa kingono dhidi ya watoto zinaandikwa kwa kuzingatia maadili, haki za watoto na mahitaji ya waathirika na manusura. Wameonya kuwa uandishi usiozingatia maadili unaweza kuwaweka watoto katika hatari zaidi, kuongeza unyanyapaa na
Maelezo kuhusu taarifaAuthor, Selin Ugurtash Akiripoti kutoka, BBC NewsIliyochapishwa Dakika 3 zilizopita Muda wa kusoma: Dakika 8 Karne nyingi zilizopita, wakazi wa Kapadokia nchini Uturuki walilazimika kujificha chini ya ardhi ili kujikinga na maadui waliokuwa wakiivamia jamii yao. Lakini waligundua pia kuwa makazi hayo yaliwapa kinga dhidi ya hali mbaya ya hewa. Leo, dunia
Viongozi wa Marekani, China na Urusi wanatarajiwa kujadili vita vya Ukraine na Iran pamoja na udhibiti wa silaha za nyuklia. Hata hivyo, tofauti zao kuhusu masuala hayo zinapunguza matarajio ya makubaliano makubwa. https://p.dw.com/p/5Pcap Ichaguwe DW kwenye Google Putin, Xi na Trump wamekusanyika mjini Shenzhen, China, kwa mkutano wa APEC, ambako watafanya mazungumzo ya pamoja
Viongozi wa Marekani, China na Urusi wanatarajiwa kujadili vita vya Ukraine na Iran pamoja na udhibiti wa silaha za nyuklia. Hata hivyo, tofauti zao kuhusu masuala hayo zinapunguza matarajio ya makubaliano makubwa. https://p.dw.com/p/5Pcap Ichaguwe DW kwenye Google Putin, Xi na Trump wamekutana kwa mazungumzo ya pamoja yaliyosubiriwa kwa hamu kubwa.Picha: Win
Iliyochapishwa Dakika 7 zilizopita Muda wa kusoma: Dakika 5 Ikiwa unasoma makala haya, basi bado uko hai na dunia haijaisha. Watu wengi wamekuwa na wasiwasi kuhusu tarehe 13 Novemba 2026, kufuatia utafiti uliodai kuwa dunia huenda ikafikia mwisho siku hiyo. Dini kuu mbili duniani, Uislamu na Ukristo, zina mafundisho kuhusu ufufuo wa wafu na mwisho wa dunia. Hata hivyo, zina
Iliyochapishwa Saa 2 zilizopita Muda wa kusoma: Dakika 8 Aina mpya ya fangasi hatari ambaye hustahimili kila aina ya dawa za kuua fangasi zilizopo kwa sasa imegunduliwa, huku wataalamu wakionya huenda zipo aina nyingine kama hizo ambazo bado hazijatambuliwa. Aina hii yenye usugu mkubwa ya fangasi Candidozyma auris (C. auris) ilibainika kwa mwanamke mwenye umri wa miaka 28
Maelezo kuhusu taarifaAuthor, Jonathan Beale Nafasi, Defence correspondent, near KupyanskIliyochapishwa Dakika 1 iliyopita Muda wa kusoma: Dakika 7 Katika vita vya Ukraine na Urusi, uwanja mpya wa mapambano umeibuka chini ya ardhi, ndani ya bomba la zamani la gesi. Kwa miezi saba sasa, wanajeshi wa Ukraine wamekuwa wakiishi na kupambana na wanajeshi wa Urusi ndani ya bomba hilo
Iran imedai kulenga kambi ya kijeshi ya Marekani na mfumo wake wa rada ndani ya Bahrain huku Manama ikitowa tahadhari kwa wakaazi wa mji huo mkuu ambako miripuko imesikika https://p.dw.com/p/5PX2l Ichaguwe DW kwenye Google Moshi watanda kwenye anga ya mji mkuu wa Bahrain Manama baada ya droni kudunguliwa Picha: Stringer/REUTERSMatangazo Mvutano kati ya Iran na Bahrain unatokota
Rais wa Marekani Donald Trump amewasili mjini Manila Jumanne kuanza ziara yake barani Asia, huku maelfu ya watu wakiandamana kupinga ujio wake. Trump atahudhuria mkutano muhimu na marais wa Urusi na China, https://p.dw.com/p/5PWsu Ichaguwe DW kwenye Google Trump anatumaini ziara yake barani Asia itaelekeza macho kwingine baada ya kukabiliwa na misukosuko ya hivi karibuni nchini
Bunge la Israel limemchagua Matan Kahana kuwa spika mpya. Kahana ni mpinzani mkali wa ajenda ya kisiasa ya waziri mkuu Benjamin Netanyahu akisema inaleta migawanyiko nchini humo. https://p.dw.com/p/5PaBt Ichaguwe DW kwenye Google Matan Kahana amechaguliwa kuwa spika mpya, na anatambulika kwa upinzani wake dhidi ya sera ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu anayosema inaleta
Hali ya vita vya Ukraine imeendelea kutawala mjadala wa viongozi wa Umoja wa Ulaya, huku mawaziri wa mambo ya nje wakitumia mkutano wao mjini Brussels kujadili hatua mpya za kuimarisha shinikizo dhidi ya Urusi na Iran. https://p.dw.com/p/5PWSj Ichaguwe DW kwenye Google Mawaziri wa Nje wa Mambo wa Ulaya wanataka hatua kali dhidi ya Urusi na wakati huo huo wanatayarisha vikwazo
Urusi inaripotiwa kuitaka NATO iondoe wanajeshi na vituo vyake katika sehemu kubwa ya Ulaya Mashariki. Hatua hiyo ingeathirije usalama wa mamilioni ya Wazungu, na Moscow inalenga nini kwa kuibua tena sharti hilo? https://p.dw.com/p/5PZHx Ichaguwe DW kwenye Google Kikao cha Baraza la Atlantiki Kaskazini katika makao makuu ya NATO.Picha: Stoyan Nenov/REUTERSMatangazo Urusi
Ujerumani imefuzu kuingia robo fainali za michuano ya UEFA Nations League baada ya kuichapa Uholanzi mabao 5 kwa bila katika mchezo uliochezwa jana mjini Berlin. https://p.dw.com/p/5PWSy Ichaguwe DW kwenye Google Florian Wirtz na wenzake waliifunga Uholanzi 5-0 kwenye Uwanja wa Olimpiki mjini Berlin, Jumatatu, na kumaliza kileleni mwa kundi lao katika Ligi ya Mataifa ya